Blog Archive

Friday, April 22, 2016

27 DAYZ OF RAPPER CHID BENZ IN THE SOBER HOUSE BAGAMOYO

Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  zilichukua ukurasa kwenye mitandao mbalimbali za kujihusisha na madawa ya kulevya.
Sasa kama unakumbuka March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz alimpeleka rapper huyo Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa hayo na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.


Tuesday, April 19, 2016

FABREGAS KAWEKA WAZI KOSA LILILOMUONDOA JOSE MOURINHO CHELSEA,LAKINI BADO WANAWASILIANA

Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza Cesc Fabregas amefunguka na kueleza lililomfanya kocha wa zamani wa klabu ya hiyo Jose Mourinho atimuliwa kazi mwezi December, licha ya kuipatia Ubingwa wa Ligi Kuu msimu uliopita.
Fabregas ameweka wazi wakati akifanya mahojiano na kituo cha tv cha Sky Sports kuwa, bado anawasiliana na kocha wake wa zamani wa Chelsea na siku zote huwa anawalaumu wachezaji wa Chelsea kwa kumuangusha na kusababisha apoteze ajira yake Stamford Bridge.

“Na muheshimu sana Mourinho na bado huwa tunawasiliana, kosa lake kubwa alilolifanya Chelsea ni kutuamini kupita kiasi na kutupa mapumziko ya mara kwa mara, kwa sababu tulikuwa mabingwa, hiyo ndio sababu iliyomfanya aondoke” >>> Cesc Fabregas

WORK OUTFIT KIPINDI HIKI CHA MVUA



AJIRA WEIGHBRIDHE COLLECTORS TANROADS*3

http://www.zoomtanzania.com/ListingUploadedDocs/TANROADS_ARUSHA2.pdf
APPLICATION LETTER SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING
ADDRESS.
REGIONAL MANAGER,
TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY
P.O. Box 3094, ARUSHA

AJIRA TANROADS WEIGHBRIDGE OPERATORS *6

http://www.zoomtanzania.com/ListingUploadedDocs/TANROADS_ARUSHA1.pdf
APPLICATION LETTER SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING
ADDRESS.
REGIONAL MANAGER,
TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY
P.O. Box 3094, ARUSHA