Blog Archive

Friday, April 15, 2016

Rayvanny ni msanii mwingine kutoka WCB lebo iliyoanzishwa na Diamond Platnumz ambapo baada ya single yake ‘kwetu’ kulia sana kwenye Radio, ni zamu ya kuiona video yake ambayo imefanywa na director Godfather


No comments:

Post a Comment